Friday, October 7, 2011

MAZOEZI YANAENDELEA LEO KAMA KAWAIDA












Wachezaji wote wa DC Nyarugusu tunaombwa kuwahi mapema mazoezini. Timu zitakuwa kama kawaida ni Greens vhini ya Libe a.k.a Jembe Ulaya vs Yellows chini ya Hussein Choteka a.k.a. Gazza. Mazoezi yataanza saa 6:00 pm hivyo tujitahidi kuwahi.

No comments:

Post a Comment