Saturday, October 8, 2011

DC NYARUGUSU YASHINDA 7-2 DHIDI YA VITAMBI FC YA KENYA.

Timu ya soka ya DC Nyarugusu leo imejipatia ushindi mkubwa wa goli 7-2 dhidi ya watani wao wa jadi Vitambi FC ya Kenya. Mechi hiyo iliyofanyika katika uwanja wa Meadowbrook Park, Chevy Chase imemalizika muda mfupi uliopita. Kwa habari zaidi na picha kamili za mchezo huo zitawajia baadae kidogo.

No comments:

Post a Comment