Wednesday, October 19, 2011

DC NYARUGUSU SPORTS CLUB!!!

KUTOKANA NA MVUA LEO TUMESHINDWA KUFANYA MAZOEZI ILA KESHO  ALHAMISI OCTOBA 19 MAZOEZI  KAMA KAWAIDA.  TUJITAHIDI KUWAHI  MAPEMA  NA ILE MECHI  VS CAMEROON IPO JUMAPILI OCTOBA 23 SAA 8:00 PM KATIKA UWANJA WETU WA NYUMBANI 6001 AGER ROAD HYATTSVILLE MD 20782

No comments:

Post a Comment