Sunday, October 23, 2011
DC NYARUGUSU........TINGISHA!!!!!
Viongozi wa team ya soka ya DC Nyarugusu kushoto Hussein Choteka Amba na kulia ni Jabir Jongo kocha mchezaji wakiwa makao makuu ya team wakiandaa jezi na vifaa vyote vya wachezaji mapema leo tayari kwa mechi dhidi ya Cameroon itakayopigwa leo saa 7:30 pm katika uwanja wao wa nyumbani Ager Road Hyattsville, MD.
D C NYARUGUSU SPORT CLUB
KESHO NDIO KESHO ULE MPAMBANO ULIOKUWA UNASUBIRIWA KWA HAMU KATI YA DC NYARUGUSU VS CAMEROON UTAFANYIKA SAA 7:30 PM KATIKA KIWANJA CHA AGER ROAD, HYATTSVILLE MD. WOTE MNAKARIBISHWA MJE KUJIONEA VIJANA WENU DC NYARUGUSU IKIOGOZWA NA JOHN MWANSASU NA HUSSEIN CHOTEKA AMBA.
Wednesday, October 19, 2011
DC NYARUGUSU SPORTS CLUB!!!
KUTOKANA NA MVUA LEO TUMESHINDWA KUFANYA MAZOEZI ILA KESHO ALHAMISI OCTOBA 19 MAZOEZI KAMA KAWAIDA. TUJITAHIDI KUWAHI MAPEMA NA ILE MECHI VS CAMEROON IPO JUMAPILI OCTOBA 23 SAA 8:00 PM KATIKA UWANJA WETU WA NYUMBANI 6001 AGER ROAD HYATTSVILLE MD 20782
Tuesday, October 18, 2011
D C NYARUGUSU SPORT CLUB
KESHO MAZOEZI KAMA KAWAIDA TUWAI MAPEMA 5;30 TUNA MECHI NGUMU J PILI VS CAMARON TUKICHEZA PAMOJA TUNAZOWEANA HILI J PILI TUWEZE KUPATA USHINDI WA FUNGA SAMA
Monday, October 17, 2011
D C NYARUGUSU SPORT CLUB
MAZOWEZI KAMA KAWAHIDA TUWAHI MAPEMA TUNA MECHI J PILI NA CAMERON
WACHEZAJI WOTE TUFIKE MAZOWEZINI 5;45
WACHEZAJI WOTE TUFIKE MAZOWEZINI 5;45
Saturday, October 8, 2011
DC NYARUGUSU YASHINDA 7-2 DHIDI YA VITAMBI FC YA KENYA.
Timu ya soka ya DC Nyarugusu leo imejipatia ushindi mkubwa wa goli 7-2 dhidi ya watani wao wa jadi Vitambi FC ya Kenya. Mechi hiyo iliyofanyika katika uwanja wa Meadowbrook Park, Chevy Chase imemalizika muda mfupi uliopita. Kwa habari zaidi na picha kamili za mchezo huo zitawajia baadae kidogo.
Friday, October 7, 2011
DC NYARUGUSU YAZIDI KUJIANDAA NA MECHI ZAKE ZA MWISHO ZA FALL
Timu ya soka ya DC Nyarugusu
Wachezaji wote na mashabiki wa DC Nyarugusu mnaombwa muendelee kujitokeza katika mazoezi ya timu yanayofanyika kila siku katika uwanja wetu wa nyumbani wa Rosa Park, Ager Road. Mazoezi yanazidi kunoga kadri siku zinavyoongezeka hivyo tujitahidi kuwahi mapema kwani mazoezi yanaanza saa 6:00 pm
Subscribe to:
Posts (Atom)